Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mzee mimi hazard cfc:Hbd kijana
Hahahahaaa Kichwa Kichafu:Nakukumbusha; Uzee unagonga hodi ndugu yangu
Uishi miaka mingi
Ameen swahiba wa mimi Hajar: wapi ZakazakaHeri ya kuzaliwa Swahiba Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.
Ila ukae ukijua unazidi kuzeeka. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Kwa kuwa ni ghafla zawadi yangu ni dole gumba tu kwa siku ya leo hivyo we andika tu Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen Young murrah:Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Allah akusimamie
Ameen swahiba wa mimi Hajar: wapi Zakazaka
Hahahaaaaa. Na kweli Swahiba.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Yote kheri kamanda
Inshaallah[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Zakazaka ana ishu kidogo inamuweka busy Swahiba ila natumai akiimaliza tu utamwona humu.
CC. Sesten Zakazaka.
Beira Boy: pamoja kijanaKher ya kuzaliwa mkuu
HahahahahaMaskini ungalikuwa ni mwanamke hapa JF wapenda K za dezo wangalishajaza kurasa kama 100 sasa hivi! Kwa vile wewe ni dume mwenzangu kubaliana na hali ukipata hta wenzako 5 kukuwishi hepi besidei kubali matokeo! Cc Mzigua90, Demiss, Money Penny Raynavero , Miss Natafuta Mama Sabrina Evelyn Salt espy Heaven Sent Hajar LadyAJ
HahahaMaskini ungalikuwa ni mwanamke hapa JF wapenda K za dezo wangalishajaza kurasa kama 100 sasa hivi! Kwa vile wewe ni dume mwenzangu kubaliana na hali ukipata hta wenzako 5 kukuwishi hepi besidei kubali matokeo! Cc Mzigua90, Demiss, Money Penny Raynavero , Miss Natafuta Mama Sabrina Evelyn Salt espy Heaven Sent Hajar LadyAJ
Ameen inshaallahHahahahaha
Itabidi wana tumjazie page tu hata kwa kubishania game ya kesho kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23]
Ameen inshaallah barikiwa mpendwaHappy birthday kwako mkuu Mungu azidi kukubariki na kufungua milango yako ya baraka
Ahsante myHappy birthday
Una uhakika kwamba Mungu atapitia hii thread yako na kuona hizi shukrani zako kwake?Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi alhamdulilahi...