Happy birthday to me

Happy birthday to me

Heri ya kuzaliwa Swahiba Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.

Ila ukae ukijua unazidi kuzeeka. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Kwa kuwa ni ghafla zawadi yangu ni dole gumba tu kwa siku ya leo hivyo we andika tu Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen swahiba wa mimi Hajar: wapi Zakazaka
 
Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi alhamdulilahi...
Una uhakika kwamba Mungu atapitia hii thread yako na kuona hizi shukrani zako kwake?
 
Sorry kwa picha wakuu...happy birthday to me
%E2%80%AA%2B255%20655%20341%20874%E2%80%AC%2020180929_125618.jpg
 
Back
Top Bottom