Mi napinga ,labda hiyo avatar iwe ni ya ujana wakoAiseee. Nimekupita ujue swahiba [emoji85][emoji85][emoji85]
Haya anzaga kunipa Shikamoo yangu. [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ahsante swahiba wangu
Hahahaaaa. Lol.Mi napinga ,labda hiyo avatar iwe ni ya ujana wako
Kwa avatar yako utakua under 30[emoji4]Hahahaaaa. Lol.
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Heri ya sku ya kuzaliwa kwkoNamshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuniongezea umri mwingine, shukran nyingi zaidi zangu ziende kwake kwa kunipa uhai na afya njema neno langu kuu Alhamdulilahi alhamdulilahi alhamdulilahi...
Mwambie Demiss uchangu unamfanya akurupuke hata kusoma. Ati K yangu miezi miwili... Wenzake wanazitunza hadi miaka 40 haijaguswa!Marahaba mdogo wangu.
Nimeiona. Nilirudia kuisoma kama mara taty ndio nikaielewa.
Mzima lakini weye?
Katika maisha lazima mtu uwe na roho mbaya. Unajua mwanamke kuwa mzuri ni kuwa na roho mbaya na K yake siyo kuwa mama huruma.Una roho mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Kwani uzi wangu wa Birthday hukuuonaga eeee.
Ulikuwepo mwezi wa sita. 😜😜😜
(Hii sio lugha gongana kweli Mtani) 🙈🙈
Mmmh. Mbona unanipa jukumu zito aisee.Mwambie Demiss uchangu unamfanya akurupuke hata kusoma. Ati K yangu miezi miwili... Wenzake wanazitunza hadi miaka 40 haijaguswa!
Mmmh. Hizi ni zaidi ya dharau kwa Ke wa Jf.Nawashukuru nyote mliomsaidia kujaza uzi huu maana siye tusiopapatikia K za bure huwa hatupendwi. Wanaopendwa ni minafiki ya kila wakati ku-like comments za wamama ili wawakumbuke kwenye ufalme wao siku moja. Aidha nitumie muda huu kushukuru convoy yangu iliyojitokeza i.e. Miss Natafuta , Hajar na Demiss kwa kusaidia kuvuta
aisee nimeshtuka...was like mpaka huyu 😀😀😀 yako lini dada??Heri ya kuzaliwa Swahiba Allah azidi kukupa maisha marefu Insha Allah.
Ila ukae ukijua unazidi kuzeeka.
Pole sana nadhani sikueleweka, si dharau Ke wa JF ila nadharau wanaojikomba kwa Ke wa JFMmmh. Hizi ni zaidi ya dharau kwa Ke wa Jf.
Wacha hizo banaa. Maana sio kila Ke yupo jf kwa ajili hiyo.
Pia si kila mtoa likes kwa Ke basi kuna kitu anahitaji Mkuu. Hivyo we ukimpa Ke likes basi kuna jambo?
Au sijakuelewa?
Mmmh. Usijali Mkuu japo itanichukua muda mrefu mno kujiaminisha hiki ulichokiandika.Pole sana nadhani sikueleweka, si dharau Ke wa JF ila nadharau wanaojikomba kwa Ke wa JF
naona hata aibu kusema hapa daahHahaaaaa. Umeshituka kwa nini Kaka?
Mie ilikuwa mwezi June bana na uzi ulianzishwa humu na Pacha wangu KIOO kumbe huku uona Kaka. Duuh.