Happy birthday to me

Happy birthday to me

Marahaba mdogo wangu.

Nimeiona. Nilirudia kuisoma kama mara taty ndio nikaielewa.

Mzima lakini weye?
Mwambie Demiss uchangu unamfanya akurupuke hata kusoma. Ati K yangu miezi miwili... Wenzake wanazitunza hadi miaka 40 haijaguswa!
 
Nawashukuru nyote mliomsaidia kujaza uzi huu maana siye tusiopapatikia K za bure huwa hatupendwi. Wanaopendwa ni minafiki ya kila wakati ku-like comments za wamama ili wawakumbuke kwenye ufalme wao siku moja. Aidha nitumie muda huu kushukuru convoy yangu iliyojitokeza i.e. Miss Natafuta , Hajar na Demiss kwa kusaidia kuvuta
 
Mwambie Demiss uchangu unamfanya akurupuke hata kusoma. Ati K yangu miezi miwili... Wenzake wanazitunza hadi miaka 40 haijaguswa!
Mmmh. Mbona unanipa jukumu zito aisee.

Wakati kaandika kwenye huu uzi ungemquote tu bana umwambie mwenyewe sababu kikawaida ujumbe wa kupelekewa una mawili waeza zidishwa au kupunguzwa maneno.

Mdogo wangu Demiss njoo huku.
 
Nawashukuru nyote mliomsaidia kujaza uzi huu maana siye tusiopapatikia K za bure huwa hatupendwi. Wanaopendwa ni minafiki ya kila wakati ku-like comments za wamama ili wawakumbuke kwenye ufalme wao siku moja. Aidha nitumie muda huu kushukuru convoy yangu iliyojitokeza i.e. Miss Natafuta , Hajar na Demiss kwa kusaidia kuvuta
Mmmh. Hizi ni zaidi ya dharau kwa Ke wa Jf.
Wacha hizo banaa. Maana sio kila Ke yupo jf kwa ajili hiyo.

Pia si kila mtoa likes kwa Ke basi kuna kitu anahitaji Mkuu. Hivyo unataka kusema we ukimpa Ke likes basi kuna jambo?

Au sijakuelewa?
 
Mmmh. Hizi ni zaidi ya dharau kwa Ke wa Jf.
Wacha hizo banaa. Maana sio kila Ke yupo jf kwa ajili hiyo.

Pia si kila mtoa likes kwa Ke basi kuna kitu anahitaji Mkuu. Hivyo we ukimpa Ke likes basi kuna jambo?

Au sijakuelewa?
Pole sana nadhani sikueleweka, si dharau Ke wa JF ila nadharau wanaojikomba kwa Ke wa JF
 
Hahaaaaa. Umeshituka kwa nini Kaka?

Mie ilikuwa mwezi June bana na uzi ulianzishwa humu na Pacha wangu KIOO kumbe huku uona Kaka. Duuh.
naona hata aibu kusema hapa daah

sikuona wallah pia ilichangia na ile sababu ya siku ileeeeeeee mpaka ukaja kule pm that day sijui unakumbuka vile??

ntaongeza doz ya kula karoti na mchicha nione vizuri mwakani inshaallah
 
Back
Top Bottom