Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha, aseeHahahahaha
Itabidi wana tumjazie page tu hata kwa kubishania game ya kesho kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23]
Ngoja nami nitoe Happy Birthday yangu kwa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, aseeHahahahaha
Itabidi wana tumjazie page tu hata kwa kubishania game ya kesho kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23]
Ahsante mnoAnyway HBD broh
40yrs+Sorry kwa picha wakuu...happy birthday to meView attachment 881202
Ameen inshaallah barikiwa mpendwa
4440yrs+
Wachaaaaaa. Swahiba ila kwa kujilipua huku jamaani lol 😂😂😂😂😂Sorry kwa picha wakuu...happy birthday to meView attachment 881202
Uzee unagonga hodi , life is sweet but too shorter
Umejifunga Bomu liveSorry kwa picha wakuu...happy birthday to meView attachment 881202
Aiseee. Nimekupita ujue swahiba 🙈🙈🙈
Hahahaaa. Ndio uzuri wa siku Maalum Mtani.Umejifunga Bomu live
Safi Sana mtani, nami nasubiri siku yako maalum ,ufanye km hvHahahaaa. Ndio uzuri wa siku Maalum Mtani.
Yaani unafanya vile moyo unataka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]Maskini ungalikuwa ni mwanamke hapa JF wapenda K za dezo wangalishajaza kurasa kama 100 sasa hivi! Kwa vile wewe ni dume mwenzangu kubaliana na hali ukipata hta wenzako 5 kukuwishi hepi besidei kubali matokeo! Cc Mzigua90, Demiss, Money Penny Raynavero , Miss Natafuta Mama Sabrina Evelyn Salt espy Heaven Sent Hajar LadyAJ
hahahaha nimecheka mpaka nimelia machoziHahahahaha
Itabidi wana tumjazie page tu hata kwa kubishania game ya kesho kwenye uzi huu[emoji23] [emoji23]
HahahahhahahahaaHahaha
Si niliona alitengwa ila sasa uzi ushachangamka[emoji23] [emoji23]hahahaha nimecheka mpaka nimelia machozi