Habari za mda huu wakuu?
Ni jumamosi njema na takatifu kwangu kwakua tarehe Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa mm hapa .
Sina mengi zaidi napenda kuualika katika tafrija hii itakayofanyika sehemu flan .
Napenda kuwakumbusha kuwa yeyote ataeguswa kuninogesha na balimi asisite kutenda wema
Ni wenu mtiifu sihusiki nao.
Ahksante