HAPPY BIRTHDAY TO ME.

HAPPY BIRTHDAY TO ME.

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda huu wakuu?

Ni jumamosi njema na takatifu kwangu kwakua tarehe Kama ya Leo miaka kadhaa iliyopita nilizaliwa mm hapa .
Sina mengi zaidi napenda kuualika katika tafrija hii itakayofanyika sehemu flan .

Napenda kuwakumbusha kuwa yeyote ataeguswa kuninogesha na balimi asisite kutenda wema

Ni wenu mtiifu sihusiki nao.
Ahksante
 
Happy birthday ba mkwe wangu mm [emoji8] nakupenda tu mm jamani

Naomba location nikuje kukata cake
 
Back
Top Bottom