Sijambo mimi auntie...Marahabaaa mtoto mzuri. Hujambo?
Miss you more darling.
Jana nikakuita tusherehekee ushindi ukapotea jamni[emoji85][emoji85][emoji85]
Unakwenda wapi?[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huwa siitikii vizuri?
Mambo ya MO11 hayo, ameniambia niache ukorofi kidogo.
Sitaki kuona majibu yake mimi jamaniii!!Unakwenda wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha hahaha
Auntie ake mie sijazoea kuitikiwa vizuri kabisaaa!!!
Ashukuriwe anko@Mo11 kwa kweeli, ametenda muujiza
Aje hapa atupigie kelele kama siku ileee waloshinda.Sitaki kuona majibu yake mimi jamaniii!!
Nipo mpendwa, sijaadimika kihivyo huwa nasoma kimya kimya[emoji85][emoji85]
Aamen dear .....thank youHeri ya siku ya kuzaliwa mdada! Mungu akutunze, akupe kila unalohitaji!
Hahaha hahahaAje hapa atupigie kelele kama siku ileee waloshinda.
Kweli vile.. Ni muujiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ametenda muujiza.