Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bebi wako wa zamani etiMi hata sijui.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Si bebi wako wa zamani eti
Kwanza napenda kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na ardhi, baba wa ulimwengu huu kwa kunipa nafasi ya kutimiza miaka kadhaa pia kunijaalia afya njema mpaka hapa nilipofikia .....namuomba mungu anizidishie baraka zake ,hekima na busara .
Niwatakie heri wale wote ambao wamezaliwa mwezi mmoja na Mimi..
Happy birthday to me
Sent using Jamii Forums mobile app