Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Nshamwambia tangu Jana aachane na mishe zangu za humu. Kama vipi aseme na demu wakeHahaha kumbe...mwambie huyo anayekufanya uteseke na wivu asubiri kwanza mwezi wa Ramadhani uishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nshamwambia tangu Jana aachane na mishe zangu za humu. Kama vipi aseme na demu wakeHahaha kumbe...mwambie huyo anayekufanya uteseke na wivu asubiri kwanza mwezi wa Ramadhani uishe
How are you by the way?? Bado unashangilia ubingwa??Vizuri
Ahaa kumbe ndio iko hivyo, nilijua wewe ndio unaona wivuNshamwambia tangu Jana aachane na mishe zangu za humu. Kama vipi aseme na demu wake
How are you by the way?? Bado unashangilia ubingwa??
Heee!!!! Rafiki, wote hao ninaowakataa na unawajua bado tu nione wivu???Ahaa kumbe ndio iko hivyo, nilijua wewe ndio unaona wivu
Inabidi sana cute! Visimamo vinaanza Leo ujueNdio ndio aseee balaa ahahhahaahah ila naona tunakaribia kufika tamati na maisha mengine yaendelee
Inabidi sana cute! Visimamo vinaanza Leo ujue
Hata mm sijui [emoji136]M pesa ndo nn hebu kuwa specific na unachoandika !!
Kwani huwa tunawaonea wivu watu kwa kuwa hatuna alternative? It's simply because tunawapendaHeee!!!! Rafiki, wote hao ninaowakataa na unawajua bado tu nione wivu???
Unaandikaje vitu usivyovijua mremboHata mm sijui [emoji136]
Sema nnHata mm sijui [emoji136]
Sema nn
Hbd ...
Uishi miaka buku ...
Mi nlkua nakutwist tu...
Shukran [emoji120]Sema nn
Hbd ...
Uishi miaka buku ...
Mi nlkua nakutwist tu...
Nipo kuuza bagia sina hata muda wa kupiga pichaNn tena ndugu
Na we rusha basi ka photo kako tukuone
Sio vya kukosa kwa kweliYes najuaa ila ndio vile tena mambo mengi Muda mchache kesho inshaallah vitanihusu
Sio vya kukosa kwa kweli
Hahahah nmecheka sanaNipo kuuza bagia sina hata muda wa kupiga picha