Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Asilimia kubwa tumeanza enzi za ranieri...kwa mataifa ya africa na asia mtu akikuambia kaanza kushabikia chelsea 90 huko huyo ni muongoWa darajani wengi ni vijana tu walioanza kuishabikia wakat wa Drogba na josee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mama nishakuwa bana ..Ahsante sana lakiniKumbe katoto.
Wa darajani nilijua ni wazee tuu kumbe hadi watoto??? Ndiyo maana kelele nyingi.
Happy birthday Ollachuga
Mkuu sisi malegendary toka miaka ya tisini uko[emoji3][emoji3][emoji3] sema ujio wa Mourihno uliongeza fans wengi sana.Wa darajani wengi ni vijana tu walioanza kuishabikia wakat wa Drogba na josee
Ahsante sana mkuu.Hbd to you dogo
mkuu sisi kila msimu huwa hatupewi nafasi yeyote ila mwishoni tunafanya kweli. Msimu huu madogo wamejipanga ivyo tuna uwakika wa kubeba EPL kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]Hongera kwa kumbukumbu nzuri, bila kusahau nikupe pole in advance kwa kumaliza nafasi ya 10 msimu huu.
H.b.d "kijana baba".
Ahsante kiongozi..Ukue na miaka mingi Mzee baba,
Kila la kheri
Oyoo mzuka mamen..Happy birthday msela
Hahaha bado kijana mdogo hata ivyo.HBD
Kwahiyo umezaliwa mm nipo darasa la 4
Si club ya kule Morogoro mkuu.Hbd man
Sema mtiba shugwa hii klabu ni ya nchi gani??
Sasa mkuu Tammy unamchukuliaje?? Ni Rashford wawili [emoji3][emoji3] yule dgo atanipigia Degea jumapili..Hahaha
Wana straiker mmoja anaitwa Tammy Abraham,..hahaha!!
Ahsante kiongozi, wasalimie familia.Uishi miaka mingi mkuu.
Mimi na familia yangu tunakutakia sikukuu njema ya 8/8
Unaeza kuta mimi kaka yako[emoji3][emoji3][emoji3]Happy birthday mdogo wetu
Ahsante mkuu.Happy birthday to you
Hahahaha mzee baba lodge ya nini wana wamenunua mashuka mapya sisi tutaenda chafua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hazard cfc shabiki lia lia wa dar young african mabingwa wa kihistoria tanzania na the blues pride of london nikuambie tu happy bday mzeebaba...umri wako sasa hivi ulitakiwa uwe lodge unasherekea siku yako muhimu kwa vitendo[emoji23]