Happy birthday to me.

Happy birthday to me.

Mimi hazard cfc shabiki lia lia wa dar young african mabingwa wa kihistoria tanzania na the blues pride of london nikuambie tu happy bday mzeebaba...umri wako sasa hivi ulitakiwa uwe lodge unasherekea siku yako muhimu kwa vitendo[emoji23]
 
Hongera kwa kumbukumbu nzuri, bila kusahau nikupe pole in advance kwa kumaliza nafasi ya 10 msimu huu.

H.b.d "kijana baba".
mkuu sisi kila msimu huwa hatupewi nafasi yeyote ila mwishoni tunafanya kweli. Msimu huu madogo wamejipanga ivyo tuna uwakika wa kubeba EPL kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]

Also thank you for the wish..
 
Mimi hazard cfc shabiki lia lia wa dar young african mabingwa wa kihistoria tanzania na the blues pride of london nikuambie tu happy bday mzeebaba...umri wako sasa hivi ulitakiwa uwe lodge unasherekea siku yako muhimu kwa vitendo[emoji23]
Hahahaha mzee baba lodge ya nini wana wamenunua mashuka mapya sisi tutaenda chafua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shabiki lia lia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom