Happy Birthday To Me...!

Happy birthday to you KIOO.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Happy birthday to you mkuu,You're a great and crucial person to me especially kwenye platform ya music industry, salute sana mkuu Mungu akupe afya njema uendeele kutuhudumia na kuinjoy good music
KIOO
 
Happy birthday mkuu kioo.mwamba wa uzi wa kutafuta wimbo.
 
Happy birthday to you mkuu,
Thanks a lot mkuu evonik your presence will always mean more than any presents ever could bro. Am so glad to have you here.

You're a great and crucial person to me especially kwenye platform ya music industry, salute sana mkuu Mungu akupe afya njema uendeele kutuhudumia na kuinjoy good music
KIOO

Onelove kiongozi wangu. I appreciate brother tuko pamoja sana mkuu. Much respect.
 
Hahahahah kama ni hivyo basi sawa coz Shadeeya binam yangu ndio mana nikauliza ati. 😊
Halafu waswahili wanakamsemo kao huwa sikapendi eti wanasema binamu nyama sijui imefanyaje!!

Sasa unaposema binamu yako na hako kamsemo ka waswahili, dah!! Hahahaaha
 
Halafu waswahili wanakamsemo kao huwa sikapendi eti wanasema binamu nyama sijui imefanyaje!!

Sasa unaposema binamu yako na hako kamsemo ka waswahili, dah!! Hahahaaha

Hahahahah aisee mbona mchokozi wewe, binamu nyama ya hamu mkuu. Lol.

Hajaonekana hapa leo ila atapita tu nilimuona asubuhi nadhani atakuwa bizzy kidogo, ngoja tumsubirie ati.

So Lovely...!

😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…