Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipo nipo nilipo yupo,tunazinguana kwenye Simba na Yanga tu hahahaaaaNikionaga comments zako namkumbukaga Shadeeya sjui kwa nini.
By the way thanks a lot kiongozi nafarijika sana uwepo wenu hapa. Am glad.
[emoji8][emoji8][emoji8]Thanks my lovely sister.
Thanks a lot mkuu evonik your presence will always mean more than any presents ever could bro. Am so glad to have you here.Happy birthday to you mkuu,
You're a great and crucial person to me especially kwenye platform ya music industry, salute sana mkuu Mungu akupe afya njema uendeele kutuhudumia na kuinjoy good music
KIOO
Halafu waswahili wanakamsemo kao huwa sikapendi eti wanasema binamu nyama sijui imefanyaje!!Hahahahah kama ni hivyo basi sawa coz Shadeeya binam yangu ndio mana nikauliza ati. 😊
Halafu waswahili wanakamsemo kao huwa sikapendi eti wanasema binamu nyama sijui imefanyaje!!
Sasa unaposema binamu yako na hako kamsemo ka waswahili, dah!! Hahahaaha