Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 191
- 389
Napokea Ila kwa njia ya maandishiHappy birthday mpendwa
Unapokea zawadi?
AminaHappy birthday mtoto mzuri
Mungu akulinde
[emoji3][emoji3] Nina allergy na majihappy birthday Gentlewoman,
kabla hujazima mishumaa iliopo kwenye keki yako hakikisha uwe umekata bima ya moto, chonde chonde na nyumba za watu.
ila una bahati sana, siku yako ya kuzaliwa imeangukia siku ya mapumziko, ina maana wafanyakazi wenzako watakosa hata muda wa kukumwagia ndoo ya maji machafu.
AminaHappy birthday to you fellow, Mungu akupe baraka zake na akuzidishie maisha marefu
AminaDamu ya Yesu ikutunze.
.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Napokea Ila kwa njia ya maandishi