Happy birthday to me

Happy birthday to me

Gentlewoman

Senior Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
191
Reaction score
389
Siku ya leo nimetimiza miaka kadhaa duniani,
Nawashukuru wazazi walionileta duniani
Japo wametangulia mbele za haki(RIP Dad&Mum)

Namshukuru MUNGU kwa uzima na afya,
Sifa na utukufu namrudishia katika kiti chake cha enzi.

Happy birthday to me.
 
happy birthday Gentlewoman,
kabla hujazima mishumaa iliopo kwenye keki yako hakikisha uwe umekata bima ya moto, chonde chonde na nyumba za watu.

ila una bahati sana, siku yako ya kuzaliwa imeangukia siku ya mapumziko, ina maana wafanyakazi wenzako watakosa hata muda wa kukumwagia ndoo ya maji machafu.
 
Happy birthday Kwako...
Mungu wa Mbinguni akuzidishie wingi wa cku zako hapa duniani !!
 
happy birthday Gentlewoman,
kabla hujazima mishumaa iliopo kwenye keki yako hakikisha uwe umekata bima ya moto, chonde chonde na nyumba za watu.

ila una bahati sana, siku yako ya kuzaliwa imeangukia siku ya mapumziko, ina maana wafanyakazi wenzako watakosa hata muda wa kukumwagia ndoo ya maji machafu.
[emoji3][emoji3] Nina allergy na maji
 
Napokea Ila kwa njia ya maandishi
.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
giphy.gif
 
Back
Top Bottom