Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #61
Tunanze kwanza na wewe..ukiachana na hiyo dunia unayoizungumzia..wewe umeifanyia nini Tanzania hususani kitongoji chako?acha kukariri vyanzo vya furaha kwa watuMnaofurahia siku zenu za kuzaliwa je huwa mnafurahi kutoka moyoni?
Umefanya Nini hapa Duniani tangu umekuja? Furaha inatoka wapi wakati siku zako za kuishi ndo zinapungua?