Happy birthday to me

Happy birthday to me

Mnaofurahia siku zenu za kuzaliwa je huwa mnafurahi kutoka moyoni?
Umefanya Nini hapa Duniani tangu umekuja? Furaha inatoka wapi wakati siku zako za kuishi ndo zinapungua?
Tunanze kwanza na wewe..ukiachana na hiyo dunia unayoizungumzia..wewe umeifanyia nini Tanzania hususani kitongoji chako?acha kukariri vyanzo vya furaha kwa watu
 
Wow!!!!

Happy birthday to you Miss Chakorii. Dingi
love you!
giphy.gif
Wow..

Thanks Dingii😍😍😍🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂
 
Shemeji wa kienyeji umekuwa adimu sana..ni nini mbaya...au wakienyeji wamekubana sana [emoji28][emoji28]

Asante shemeji yangu wa kienyeji [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Majukumu shemeji yangu wa kienyeji

Nilipata ingizo jipya likaniweka busy busy fulani hivi(tumeachana)

Akhsante kushukuru mpendwa

Na zawadi unapokea?
 
Majukumu shemeji yangu wa kienyeji

Nilipata ingizo jipya likaniweka busy busy fulani hivi(tumeachana)

Akhsante kushukuru mpendwa

Na zawadi unapokea?
Wakienyeji ndie yule uliyemuingeji??
Ndo mana ukawa adimu eee..kumbeee...

Zawadi niitakayo leo ni wewe uniletee babe wangu wa kienyeji
 
Back
Top Bottom