Happy birthday to me

Mkubwa mzima unaitwa tamuuu.
Haya Happy birthday 😊😊
 
We jamaa, inakuwaje unajiita Tamuuuu???? By the way, happy birthday
 
Halafu nimeku- PM but umeifunga PM yako my dada.Tuwasiliane please, tuje tuchome hata nyama Tengeru au mianzini.
Yes, kwasababu naogopa kupigwa nilishakuwa na Mtu anachunga sana Mali yake ila keki ningetoa na wengine wangefanya mengine kwani ukisherekeaje
 
Happy bilated birthday legend, hujaoaaaaaa nini shida tamuuu

tukae kama kamati tusolve hili jambo maana haiwezekani ufike 36 huna mchumbaaaa

hahahhahahaha usinitusi lakini maana nitakuja geto faster

teh teh teh
 
Hahahaaaaaa daaah acha tu ndugu yangu,zama hizi zimekuwa ngumuuuu
 
Yes, kwasababu naogopa kupigwa nilishakuwa na Mtu anachunga sana Mali yake ila keki ningetoa na wengine wangefanya mengine kwani ukisherekeaje
Heeeeh jamaaani! Sie wengine ni friends tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…