Happy birthday to me

Happy birthday to me

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.

Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema kwangu,though mapambano ya maisha bado yanaendelea with kwa kuonesha upendo penye chuki,amani penye uhasama.Sijafanikiwa na kutimiza ndoto za kimaisha ila naamini zitatimia kwani naamini ktk processes.

Sijaoa bado,changamoto ni ZAMA hizi imekuwa ni jambo gumu kupata mwenza kwetu sie vijana.Na hii ni kwa wote ME na KE. Namtegemea Mungu,yeye anajua hatma yangu.

As am growing up,najiona nakomaa akili na kuwa very tolerant katika kila jambo na hatua ninayopita.

Tuishi kwa upendo,Mungu awabariki marafiki wa Jamiiforums.
 
Happy birthday ]
Mkuu kuwa na heshima na adabu kwa watu.Respect ni kitu muhimu sana kwa mtu unayemjua na usiyemjua.Kama nimekukwaza kitu ktk uzi wangu samahani,but sio kuja na aina hii ya matusi

Usiwe na makasiriko na akili finyu hivi.Ukiendelea kuwa hivi hutaishi kwa furaha na amani ktk maisha yako.Asubuhi ukiamka salama mpigie mama yako simu msalimu

Moderators tafadhari huyu mtu kanitusi,ninaomba mpigeni BAN ajifunze kuwa huku si sehemu ya matusi,ni sehemu ya waungwana.
 
Mbona wanawake wapo wengi tu wazuri Ila shida Yako nikuwa unachagua sana unakata tamaa Sasa utaoje??

Kumbuka before ulikuwa unaogopa kujielezea Huna kifaa
 
Back
Top Bottom