Happy birthday to me

Happy birthday to me

Mnataka kuharibu bday ya mtu vijana wa hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Likijana liliharibu kabisa mkuu, yaani memba alimkula once kisha akamuachia 100k the akasepa. Maskini dada wa watu akakaa lodge 3 days of waiting...😜
 
Nisema asante sana kwa Mungu kwa siku ya leo asante sana
Happy birthday to you....tumeshare birthday jamani....team Gemin[emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512]
 
Back
Top Bottom