Happy birthday to me

Happy birthday to me

Zawadi yako ya Makande ndiyo ipo Jikoni, Bibi yako ameziunga Nazi.

Nategemea utazipenda 🤗

Mjukuu gani tangu nikuombe uniletee Kiko imepita Miezi 6 kama sio Upare kwa Kuzaliwa itakuwa Upare wa Kurithi 😜🏃🏃
😆😆😆😆😆😆😆😆😆babu umeniamulia.

Acha kuzuga ninasubiria hela ya kununua keki acha masihara babu
 
😆😆😆😆😆😆😆😆😆babu umeniamulia.

Acha kuzuga ninasubiria hela ya kununua keki acha masihara babu
Ili nifute kauli yangu ya Upare kwako fanya unitumie Kiko zangu, alafu nimesikia kuna Kiko kutoka Zimbabwe, wanasema ni nzuri sana kwasisi Wazee 😜

Ulitaka Keki ya ngazi ngapi Mjukuu? Nataka nimtume Kijana wa Jirani yangu akuletee 🤗
 
Babu now you’re talking …
Ya ngazi moja tu mjukuu wako unanijua sipendagi mambo mengi babu
 
Back
Top Bottom