Happy birthday to me

Happy birthday to me

Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena. nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani. Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile. Na wale wana JF amabao tumezaliwa tarehe moja hii ya 25/7 pia nawapa hongera. mungu aendelee kutubariki.
happy birthday to me Papag.
ahsanteni na mbarikiwe
Happy birthday...
 
Happybirthday to you furahia wimbo wa harmonize na ushereke wewe na familia yako
 
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena.

Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani.

Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kunilinda pamoja na mapungufu mengi ninayo mtendea kwa namna yeyote ile.

Na wale wana JF amabao tumezaliwa tarehe moja hii ya 25/7 pia nawapa hongera. mungu aendelee kutubariki.

Happy birthday to me Papag.

Ahsanteni na mbarikiwe
I wish you Long life
 
Back
Top Bottom