Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Kila la kheri,mtoto mzuri
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..
Thank you friend Wagumu Tunadumu πŸ˜ŠπŸ€—
 
Hello everyone 😊☺

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi πŸ˜ŠπŸ€—

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you 😍😘)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humuπŸ˜„πŸ˜„...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME πŸŽ‰πŸ₯³πŸ₯³πŸ˜„πŸŽ‚πŸŽˆ View attachment 2699335
Happy birthday toto bad! 🀣 How old are you now ili nikupe zawadi inayoendana na umri wako πŸ˜€
 
Bila shaka keki hii ya leo mtakuwa mmenikonsida Babu yenu nisiye na Meno ya kutafunaπŸ€ͺ

"Forget the past; look forward to the future, for the best things are yet to come"πŸ’ͺ

Heri ya kuzaliwa Mjukuu πŸ₯‚
Asante babu πŸ™πŸΌ,, barikiwa sana πŸ˜ŠπŸ€—....keki na nini nikuwekee au ndo vingine huwezi kutafunaπŸ˜„πŸ˜„
 
Happy birthday toto bad! 🀣 How old are you now ili nikupe zawadi inayoendana na umri wako πŸ˜€
Thank babπŸ˜πŸ˜ŠπŸ€—,, yoyote tu mi naendana nayoπŸ˜‰πŸ˜˜
 
Asante babu πŸ™πŸΌ,, barikiwa sana πŸ˜ŠπŸ€—....keki na nini nikuwekee au ndo vingine huwezi kutafunaπŸ˜„πŸ˜„

Kuna vingine siwezi kutafuna zaidi ya kuvilamba tu, maana meno yote Babu yenu nilipoteza .........πŸ€ͺ

Ingekuwa keki bado haijatoka kiwandani mngeniwekea na Kiko yangu pembeni, yaani mnanilisha keki huku navuta na Kiko yangu πŸ€—
 
Sawa babu,,, umeeleweka πŸ˜ŠπŸ€—
 
Back
Top Bottom