Happy birthday to me

Happy birthday to me

Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Zingatia hapo kwenye bold.

Nikiwa kama mwenyekiti wa hiyo sekta, naomba vithibitisho ili tukutambue. Umuhimu wa hao watu ni mkubwa, hatutaki mamluki 😅😅😅😅
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nipo hapa we nipe location tu

Sasa sredi yako mbona umeiandika km mdada wa Simiyu ndani ndani huko, nikajua upo mkoa...

Locations ni mbili kuna ya Masaki Haile Selassie Road (hii nzuri sababu imetulia) na nyingine posta mpya IT Plaza...
 
Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia

Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]

Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Birthday nyema amehlo, iwe heri na mafanikio kwako.
 
Zingatia hapo kwenye bold.

Nikiwa kama mwenyekiti wa hiyo sekta, naomba vithibitisho ili tukutambue. Umuhimu wa hao watu ni mkubwa, hatutaki mamluki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]apostle
 
Kama Mashangazi mnakimbiza soko la kuolewa namna hii hadi Slay Queens wanajuta kuwafahamu, basi hakuna haja ninyi kujuta kuitwa maShangazi [emoji847]

Huku Kijijini tumeandaa Togwa na Mbege kwaajili yako [emoji2957]

Heri ya Kuzaliwa Mkuu Amehlo

Asante mjombaaa
 
Sasa sredi yako mbona umeiandika km mdada wa Simiyu ndani ndani huko, nikajua upo mkoa...

Locations ni mbili kuna ya Masaki Haile Selassie Road (hii nzuri sababu imetulia) na nyingine posta mpya IT Plaza...

Masaki ni nzuri Zaidi maaana niko jirani tu hapa
 
Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia

Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]

Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Ila mashangazi huwa mnainjoi sana maisha eti! Huwa hamna kabisa stress!! Happy birthday to you.
 
Back
Top Bottom