Happy birthday to me

Happy birthday to me

Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia

Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]

Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Nyama yako tamu naweza ila bila chumvi.

Happy birthday to u Shangazi guu la HENNESSY
 
Happy birthday mshangazi mwenzangu ishi sana dear unapendwa na shunie
 
Back
Top Bottom