Zingatia hapo kwenye bold.Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nipo hapa we nipe location tu
Birthday nyema amehlo, iwe heri na mafanikio kwako.Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia
Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Zingatia hapo kwenye bold.
Nikiwa kama mwenyekiti wa hiyo sekta, naomba vithibitisho ili tukutambue. Umuhimu wa hao watu ni mkubwa, hatutaki mamluki [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa sredi yako mbona umeiandika km mdada wa Simiyu ndani ndani huko, nikajua upo mkoa...
Locations ni mbili kuna ya Masaki Haile Selassie Road (hii nzuri sababu imetulia) na nyingine posta mpya IT Plaza...
Ila mashangazi huwa mnainjoi sana maisha eti! Huwa hamna kabisa stress!! Happy birthday to you.Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia
Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee