Thanks πAsante mjombaaa
Nyama yako tamu naweza ila bila chumvi.Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia
Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee