Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Happy birthday dearest [emoji322]Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia
Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday kwangu mshangazi nnae ukaribia uzee
Naona wazee wengi ndio wanapiga hivyo vitu πππππππukizeeka ndo unatakiwa kunywa balimi
Kwa hiyo unataka viwanda vya pombe vifungwe ili watu wakose ajira eeeMe nimeacha pombe nimeokoka
Unataka waweke bibblia au?Wabadilishe bidhaaa
Dear nipoo, ila majukumu yanabanaa.Thanks kipenzi umekua adimu