Happy Birthday to mie

Happy Birthday to mie

Dah....mwingine tena. [emoji848]
mida inazidi ku count down..napambana na walimwengu.... Maisha ni vita [emoji23][emoji23]
Namshukuru bi mkubwa kwa kunileta kwa uchungu...kunilea hadi leo najua nyeusi ipi ...nyeupe ipi...
Namshukuru pia mshua kwa kunielekeza njia.
Nawaombea mpate neema na baraka katika maisha yenu [emoji8]
 
Dah.... Mwaka mwingine tena .....Hadi nasahau....heshima kwenu...mshua na bimkubwa..Asanteni sana...happy birthday to me 😍😍
 
Dah.... mwaka mwingine tena. Bado nakushukuru bi mkubwa kwa kunibeba kwa takribani miezi 9 yenye shida na tabu nyingi....kisha kunihamishia kwenye ubongo wa mshua kwa miaka kadhaa yenye msongo wa mawazo na mikikimikiki ya maisha....hadi leo hii nimewajaza wote kwenye moyo wangu kwa furaha kubwa. ...... Mungu awalinde......Happy birthday to me
 
Happy birthday mkubwa naona Mungu anaendelea kuwa mwema kwako.
 
Mwaka mwingine tena...bado nachanja mbuga....bado mengi sijafanya na muda unaisha...dah.....happy birthday to me...najipenda sana ...
Mungu akutunze mkuu, happy birthday kwako,,,ishi sana na umtukuze Mungu kila uchao
 
Dah.....mwaka mwingine tena...shukran nyingi kwa bi mkubwa kunikumbusha siku yangu ya leo...miaka inasonga na memory inazidi kujaa...Mungu azidi kuwatunza wewe na mshua....nawapenda na kujipenda sana .... Happy birthday to me :KKalinka:
 
Back
Top Bottom