Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]happy birthday kwako ila kwa umri huo ni vyema kuchongesha jeneza sasa mana ni kipindi cha mwishoni kwako hahahaaahaahaa!!!!!!!!
Kwamba aachane na akina rikiboy [emoji23][emoji23]Happy birthday to you
Kwa umri huo mrudie Mungu sasa
Happy birthday mkubwa naona Mungu anaendelea kuwa mwema kwako.Dah.... mwaka mwingine tena. Bado nakushukuru bi mkubwa kwa kunibeba kwa takribani miezi 9 yenye shida na tabu nyingi....kisha kunihamishia kwenye ubongo wa mshua kwa miaka kadhaa yenye msongo wa mawazo na mikikimikiki ya maisha....hadi leo hii nimewajaza wote kwenye moyo wangu kwa furaha kubwa. ...... Mungu awalinde......Happy birthday to me
Mungu akutunze mkuu, happy birthday kwako,,,ishi sana na umtukuze Mungu kila uchaoMwaka mwingine tena...bado nachanja mbuga....bado mengi sijafanya na muda unaisha...dah.....happy birthday to me...najipenda sana ...