Happy Birthday To mimi Khantwe

Late wishes ndugu daaaa sijatia miguu humu ndani longi taimu sijui keki ilikuepo???
 
Late wishes ndugu daaaa sijatia miguu humu ndani longi taimu sijui keki ilikuepo???

Thank yu dia MankaM. Keki ilikuwepo na hata ukitaka kiporo kipo
 
Last edited by a moderator:
Ila my wii wewe nae ni mchoyo yani nimekuomba keki ukahaidi kuniletea mpaka kesho sijaona kitu.Acha uchoyo wii Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Ila my wii wewe nae ni mchoyo yani nimekuomba keki ukahaidi kuniletea mpaka kesho sijaona kitu.Acha uchoyo wii Khantwe

Ungeniambia mi ni mkarimu ingekuwa ajabu....sijawahi kuona mtu anasema mke wa kaka yake ni mkarimu ungekuwa wa kwanza wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…