suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Yaani anavyoingiza voko kwa nguvu dah..anatimia nguvu sana
Lakini bado hajakufikia ati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani anavyoingiza voko kwa nguvu dah..anatimia nguvu sana
Ni mecheka sana mkuu dah
mkuu tuongeze siku za kuishi bana na ndo raha ya jf
Lakin kwa upande wa pili my honey anamaanisha akisemacho ukiachilia mbali kuongeza siku za kuishi
hahahahahaYaani anavyoingiza voko kwa nguvu dah..anatimia nguvu sana
namheshimu sana sr siwezi kumzidi maarifaLakini bado hajakufikia ati
anamaanisha nini?
Na huwez katu
nakuuliza wewe yule mshkaji wangu sitaki kumdisturbMuulize atakujibu kwa nini nimjibie bwana
wee kuwa mpole au niamue kukuchukua kwa nguvu.
nakuuliza wewe yule mshkaji wangu sitaki kumdisturb