Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mbona umeshazeeka tangu zamaniThanx sweetheart. Nimezeeka sasa lol[emoji85] [emoji85]
Haha haihuu. Kachane mbao huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] bichwa lako kama water lemon
Haha ntakuja uniajiri, maana wakinga na k/koo wee[emoji23] [emoji23] nimestaafu sasa hivi nimehamia kariakoo
Weee bosslady tafwadhali bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unatuchambaga ajira sikupi
Basi mkunga nizalishe tu please, ntafwaaaNdo nimeshasema sasa siku nyingine usitukane wakunga wakati unajua hujafunga kizazi
Hahaha wale kaka zako mmhNaanzaje kwa mfano. Nitakuzalisha kwa sharti la kuolewa na kaka yangu