Happy Birthday To mimi Khantwe

Avatar inaonuesha unawaza ndoa..nani atakuoa ww kochwa watermelon asbh unawaza birthday..?? Badilika binti..usiwe kama ka nzi
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu nitajitahidi kubadilika
 
Avatar inaonuesha unawaza ndoa..nani atakuoa ww kochwa watermelon asbh unawaza birthday..?? Badilika binti..usiwe kama ka nzi
Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.

Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
 
Acha roho mbaya baby wewe si upo kwenye list ya matajiri wa hum Jf? Sasa ka zawadi ka laki nane tu kakushinde?
Huyo alotoa list labda kuna Daby wake anamjua.... sasa utajiri JF wanangalia wingi wa thread au likes
 
Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.

Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
Achana nae huyo huenda kuna birthday ilishawahi kumfanya kitu mbaya
 
Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.

Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
Mbwa ukimjua jina hakusumbui, si unaona jinsi mke mwenza anavyokwenda nae. Wa hivyo huwa hawakosekani ktk jamii. Alafu ukute ni wa kiume[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.

Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
Dogo utapakatwa kwa icho kihelehele chako..kichwa puto kabisa, kwaio ww ndio shoga ake

Delicious ww..unataka mume au?
 
Hayo ndo maneno sasa maana tayari nilishamuandaa huyo mke baada ya kuona unapwaya
Si ndio maana nakupenda mwenza, hayo ndio maneno sasa.
Hebu mshawishi basi kaka yako afanye fasta, ahalalishe kabisa maana najua sasa hivi anachepuka.
 
Dogo utapakatwa kwa icho kihelehele chako..kichwa puto kabisa, kwaio ww ndio shoga ake

Delicious ww..unataka mume au?
Mkuu si uende ukaendelee kujenga uchumi huko mbona hubanduki hapa hujui ujinga huwa unaambukiza?
 
Ha ha ha nilikuwa nasubiri tu usahau nilianzishe! Hii birthday imechelewa sana,ingeangukia juzi ningewalisha ubwabwa mchafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…