Happy Birthday To mimi Khantwe

Ha ha ha nilikuwa nasubiri tu usahau nilianzishe! Hii birthday imechelewa sana,ingeangukia juzi ningewalisha ubwabwa mchafu!
Hahahaa naanzaje kusahau sasa. Sijui umeelewa ubabwa ninaozungumzia lakini...??? Hata keki hatukati pacha?
 
Jitathimini sana dogo..iyatolewa usichana wako bado mapema
 
Leo iwekwe mapumziko humu jf tumezaliwa watu watatu kwa mpigo

RRONDO
sister Khantwe na
MO11

Leo ni sikukuu tu sio kingine

espy njoo unipe ila nitapendelea ubwabwa kisha papa

Madame B kwako nitapata nini baada ya papa na paja??
Ulikuwa wapi mkeo unasema hajakuona wiki ya tatu leo. Umeshatafuta mke wa tatu eeh nitambulishe basi
 

Naomba nikutakie Heri ya kuzaliwa Khantwe. Mungu akubariki na akupe mahitaji yote ya moyo wako. Uwe baraka kwako,familia yako na Jamii yote kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…