Happy Birthday To mimi Khantwe

nimeandaa malazi giraffe hotel kwajili yako leo shemd

Aaah thanx shemd ila leo ntalala njia kuu huko uwe na moyo mkuu...umelipia siku ngapi?
 
Babu yako siku nyingi tushaachana Khantwe huyo ulomtaja ni wa ukweli hata nje ya jf yaan serious kabisa

Oooh hongera sana mamaafacebook kumbe shemeji unaye humhum ndani...kila la kheri kwenye hayo mahusiano,mbarikiwe mzae watoto na wafukishe umri kama wangu huu na kuzidi
 
Last edited by a moderator:
Oooh hongera sana mamaafacebook kumbe shemeji unaye humhum ndani...kila la kheri kwenye hayo mahusiano,mbarikiwe mzae watoto na wafukishe umri kama wangu huu na kuzidi

Owh inshaallah my dear asante mwaya, mungu akupe maisha maref wewe na mumeo Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani wiki nzima shemd. inakuwaje sasa. achana na huyo kikongwe

Wiki nzima?? Bas tutalala siku mbili siku ya tatu nitazuga najisikia kichefuchefu tunarudi nyumbani.....akiondoka kwenda kutangaza injili narudi kulekule hotelini....umenipata shemd nikupendaye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…