Happy Birthday To mimi Khantwe

Mwanamke mchoyo wewe....yani umenijibu Leo ili uninyime keki....haya singizia imechacha......

Hahaha mamy jana nlitingwa na party....keki ilibaki kubwa tu ila pacha wako Heaven Sent aliibeba yote eti ya kunywea chai lol
 
Last edited by a moderator:
Ooops jana sikutimba mjengoni hapa ila nakutakia maisha marefu yenye kheri na baraka tele long live mumy
Says Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mamy jana nlitingwa na party....keki ilibaki kubwa tu ila pacha wako Heaven Sent aliibeba yote eti ya kunywea chai lol

Pacha Kim nana kwani leo hukuhisi kama mdomoni mwako kutamu tamu? Maake sisi mapacha, so nilivyokula mimi keki, utamu wake hadi na wewe umeufil lol
 
Last edited by a moderator:
Pacha Kim nana kwa leo hukuhisi kama mdomoni mwako kutamu tamu? Maake sisi mapacha, so nilivyokula mimi keki, utamu wake hadi na wewe umeufil lol

Hahahaaa ndo mana leo nimeshibaaaa.....utakuwa umekula lijipande likuuuubwa....tisha sana pacha ake mie......
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa ndo mana leo nimeshibaaaa.....utakuwa umekula lijipande likuuuubwa....tisha sana pacha ake mie......

Hahaha si unajua tunavyopenda kula vimbaumbau sisi ingawa hatunenepi, yani nilibeba nusu keki, as if na mimi nilikuwa nasherehekea birthday yangu mwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…