Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
  1. happy birthday muheshimiwa maxence, kabla hujazima mishumaa iliopo kwenye keki yako hakikisha uwe umekata bima ya moto, chonde chonde na vibanda vya watu
  2. pia huu si wakati wa kuhesabu mishumaa iliopo ndani ya keki ya birthday, bali huu ni muda wa kuhesabu na kuyafikiria malengo yako ya mbeleni
  3. pia usijali nitaendelea kuitunza siri ya umri wako, kwa kuwadokeza tu umri wa huyu bwana haujafikia tarakimu tatu (kazi kwenu watabiri uchwara)
  4. ila wewe jamaa una bahati sana, siku yako ya kuzaliwa imekuwa ni weekend, ina maana wafanyakazi wenzako watakosa hata muda wa kukumwagia dishi moja la nyungu ya kujifukiza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…