Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
Happy birthday mzee baba, jf imekuwa sehemu bora kwa sisi waswahili kukutana na kuongea kuhusu hili na lile.
Nje ya maada
Fanya unenepe kidogo mzee huo mwili wako ni hatari kwenye maeneo yenye upepo mkali.
 
Duh! Mbona huo mwili ndo mwake mzee baba?haaa nahis ww una likitambii😉😉!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom