Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

Happy Birthday to our Tanzanian hero Maxence Melo

Status
Not open for further replies.
HBD Maxence Melo[emoji485]
Asante kwa JF imekamilika kwa kila nyanja, tunajifunza, tunasaidiana na kufarijiana, tunatapeliana pia[emoji12]

Pole kwa changamoto ulizopitia na unazoendelea kupitia yote ikiwa ni kwa ajili ya kuwajali wateja wako[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mkuu Maxence Melo . Mwenyezi Mungu akulinde na kukubariki katika affairs zako, na upate mafanikio zaidi.

You are truly living life worth remembering, and you are my inspiration.
 
Unifying thread

Uzi unaowauunganisha
Magonjwa mtambuka
Bia yetu
Elitwege
Yehodaya
Jingalao
Kawe alumni

Vs

Sky eclat
Erthrocitye
Gsam
Limbomboma

Kiufupi huu uzi hauna haters Wala hatered au mnaonaje?
 
Happy birthday MELO

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
tarehe ya kuzaliwa sidhani kama ni ya muhimu sana kwetu .ila tarehe ya siku ambayo aliapata wazo la kufikiri "hebu nianzishe mtandao fulani" ndiyo muhimu kwetu. kama hiyo siku ndiyo ilikuwa birthday nadhani ni so gifted


happy birthday mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri unavyokua ndivyo nguvu zinapungua tofauti na Samaki.
Pia ndivyo unakikaribia Kifo chako.
Maxence Melo anzisha jukwaa la TANZIA.

Siku zote za mwanadamu aliyezaliwa na mwanadamu zimejaa taabu na mashaka.
Nakutakia maisha mazuri (contrary to bible)
 
Kwahiyo angepata wazo kabla hajazaliwa......aisee covid 19 ni noma.
tarehe ya kuzaliwa sidhani kama ni ya muhimu sana kwetu .ila tarehe ya siku ambayo aliapata wazo la kufikiri "hebu nianzishe mtandao fulani" ndiyo muhimu kwetu. kama hiyo siku ndiyo ilikuwa birthday nadhani ni so gifted


happy birthday mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbd mtu wetu wa NGUVU,

mtu unayetutetea wakati mwingine pasipo sisi kujua,mtu usielala kwa ajili yetu wakati sisi tumelala zetu,mtu unaepigania uhuru wetu na maslahi yetu as if jf ndio jimbo lako la uchaguzi kwamba utakuja kutuomba kura kumbe laaa!!!!

Mtu humble,mpole,mnyenyekevu,jasiri,asiyekuwa na kiburi wala jeuri,mpiganaji mahiri asiyeyumbishwa na chochote,mtu unaesimamia haki za watu,mtu usiekata wala kukatishwa tamaa,moyo wako hauvunjiki hata kwa nyundo

mtu uliye/unayetufanya JF tupaone kama soko kwamba mtu atapata mahitaji yote atakayo,jf imekuwa ni shule,darasa,maskani,nyumba ya ibada, mahali ambapo tunaishi the way tunavyotaka kila mwananchi anatoa mawazo yake kama mmbunge,raisi,mwananchi nk..sehemu ambayo watu wanaelimishana,shauriana,pendana,wanawasiliana,wanaoa na kuolewa,wanasaidiana

Hakika MUNGU alikuleta kwa makusudi maalumu nadhani unaendelea kufanya kusudi la wewe kuletwa duniani HAKIKA UNASTAHILI KUPIGIWA MIZINGA 21KAMA RAISI WETU WA JF KATIKA SIKU HII MAALUMU YA KUZALIWA KWAKO

#natamani tuchange hata mia mia ili ufurahie vyema siku yako ya kuzaliwa pamoja na familia yako due to covid 19 inayotaka tukae home tusitoke lkn sijui nifanyeje ili kamchango kangu kakufikie walau unywe soda bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi

HAPPY BIRTHDAY TO YOU [emoji1635][emoji898][emoji485][emoji2421][emoji512]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom