Hbd mtu wetu wa NGUVU,
mtu unayetutetea wakati mwingine pasipo sisi kujua,mtu usielala kwa ajili yetu wakati sisi tumelala zetu,mtu unaepigania uhuru wetu na maslahi yetu as if jf ndio jimbo lako la uchaguzi kwamba utakuja kutuomba kura kumbe laaa!!!!
Mtu humble,mpole,mnyenyekevu,jasiri,asiyekuwa na kiburi wala jeuri,mpiganaji mahiri asiyeyumbishwa na chochote,mtu unaesimamia haki za watu,mtu usiekata wala kukatishwa tamaa,moyo wako hauvunjiki hata kwa nyundo
mtu uliye/unayetufanya JF tupaone kama soko kwamba mtu atapata mahitaji yote atakayo,jf imekuwa ni shule,darasa,maskani,nyumba ya ibada, mahali ambapo tunaishi the way tunavyotaka kila mwananchi anatoa mawazo yake kama mmbunge,raisi,mwananchi nk..sehemu ambayo watu wanaelimishana,shauriana,pendana,wanawasiliana,wanaoa na kuolewa,wanasaidiana
Hakika MUNGU alikuleta kwa makusudi maalumu nadhani unaendelea kufanya kusudi la wewe kuletwa duniani HAKIKA UNASTAHILI KUPIGIWA MIZINGA 21KAMA RAISI WETU WA JF KATIKA SIKU HII MAALUMU YA KUZALIWA KWAKO
#natamani tuchange hata mia mia ili ufurahie vyema siku yako ya kuzaliwa pamoja na familia yako due to covid 19 inayotaka tukae home tusitoke lkn sijui nifanyeje ili kamchango kangu kakufikie walau unywe soda bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi
HAPPY BIRTHDAY TO YOU [emoji1635][emoji898][emoji485][emoji2421][emoji512]
Sent using
Jamii Forums mobile app