Happy Birthday to You Espy

Shoga kumbe wewe sio wa mchezo mchezo! [emoji3]
Gazette la wapi hili, Sweden au North America?
Mkuu samahani,naona umeni-quote mimi lkn umeniita shoga sasa sijui ujumbe ni wa espy lkn umekosea ku-quote au ulikusudia mimi ukijua me ni KE!?? Ufafanuzi tafadhali....
 
Mkuu samahani,naona umeni-quote mimi lkn umeniita shoga sasa sijui ujumbe ni wa espy lkn umekosea ku-quote au ulikusudia mimi ukijua me ni KE!?? Ufafanuzi tafadhali....

Hahaha!, pole sana mkuu, nilimaanisha ku mention Birthday Girl na sio wewe! [emoji3]

Soorry!!!!
 
Hahaha!, Khaa!, sio kwa kunichoka huku aseh! [emoji28]
Acha tu hiyo migodi iende kwa wenye rangi zao my dear! [emoji16] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu ndio size yako sasa!!
 
Happy birthday my kivuruge,kichomi,mama mtoto,mwanmke mwenye team yake ya mpira..Yani una majina mengi kama menu ya kinyozi..Nashindwa hata kuyamaliza..

Tumetoka mbali aisee..Toka enzi hizo kigoli mpaka sasa unazeeka..Tunachuniana/zinguana sometimes lakini still tunarudi kwenye mstari..Nafurahia uwepo wako hapa Jf..Mungu azidi kukupigania my best friend&Mke..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…