Hawezi akawa na wivu yule, utakaa wapi kwanza huo wivu jitu bandidu vile!!Tena uliopitiliza na soon atakufa kwa kihoro
ila mama kila kichwa ananilazia wakati nambembeleza ndo hichi umekiponda hivi? aaah hapana banaMkwe sio ya kucheka haya ujue!!
We nafikiri hata ukiwahubiria watoto wanaweza hisi wanaangalia comedy.wewe ndiye kondoo niliyeoteshwa nimrudishe zizini mwa bwana.
Nami ndiye mtumwa wako pata kusikia nayokuambia... dunia inapita
Ukipenda chongo utaona kengeza mkwe.ila mama kila kichwa ananilazia wakati nambembeleza ndo hichi umekiponda hivi? aaah hapana bana
Acha zako wewe nimetumikia sana na kusoma neno.We nafikiri hata ukiwahubiria watoto wanaweza hisi wanaangalia comedy.
Kwakweli huyo ni roho wa "bwana".Acha zako wewe nimetumikia sana na kusoma neno.
Unafikiri haya yanawezekana tu lazima uwe na roho wa bwana ndani mwako.
ngoja niwashe taa nilithibitishe..,Ukipenda chongo utaona kengeza mkwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tupo airport kuna ukaguz unafanyka wanahs tumeficha bombadia kwa huu ukubwa wake
Nashindwa kuelezea ila Bonny ana details zote za hii cake kuanzia ukubwa na kadhalika. Bado tupo airport wanatusumbua sana, wabongo banah wasione kitu cha tofauti tuu basi wanataka kukukomoa. Na sisi tumeshtuka hatutoi rushwa [emoji6]Ohhh!, atawadai. Mjiandae kununua mpya tena iwe kubwa kuliko..
Kula tuu hakuna namnaMi nmembelza weeeee kagoma nifanyaje tena
Hawa jamaa hawaeleweki kama vipi tuwaachie tuu hii cake alafu tumtafutie bidada cake nyingine au wewe unaonaje?Ha ha ha ha mzee nmekumbuka hyo story mwenzie akaua hyo ngoz wakatumia kuwamba ngoma ambayo ilitumika kuchezea kama uwanja
Ila hii mzee kwel muulize neybright ndio alikua na jamaa wa TFDA wanamalizana
Wacha tukushughulikie swala lako kwa ufasaha, endelea kumtumaini Mungu hakika litafanikiwa..Na kwelimmerudi wote[emoji85] [emoji85]
Mjadala mwema
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama kweli vileeNashindwa kuelezea ila Bonny ana details zote za hii cake kuanzia ukubwa na kadhalika. Bado tupo airport wanatusumbua sana, wabongo banah wasione kitu cha tofauti tuu basi wanataka kukukomoa. Na sisi tumeshtuka hatutoi rushwa [emoji6]
Na we pia mae.Heri ya mwaka mpya mpenzi
Ameeen! [emoji106] [emoji122]Mwanamke ni familia katika jumuiya ndogondogo.
Worship is how we express our love, adoration, admiration, and wonder at God’s presence.
There's none like youuuuu[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445]
Khaaa!, Inabidi akue sasa..Ajifiche wapii, kajaa tele ila anakuonea aibu.
Nashindwa kuelezea ila Bonny ana details zote za hii cake kuanzia ukubwa na kadhalika. Bado tupo airport wanatusumbua sana, wabongo banah wasione kitu cha tofauti tuu basi wanataka kukukomoa. Na sisi tumeshtuka hatutoi rushwa [emoji6]
Hawa jamaa hawaeleweki kama vipi tuwaachie tuu hii cake alafu tumtafutie bidada cake nyingine au wewe unaonaje?
Embu tushauriane kidogo maana hili jambo ni very sensitive lazma tuwe na maamuz magumu kidogo.