[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ngoja niwashe taa nilithibitishe..,
Na mbaki nayo wenyewe, siitaki.Nashindwa kuelezea ila Bonny ana details zote za hii cake kuanzia ukubwa na kadhalika. Bado tupo airport wanatusumbua sana, wabongo banah wasione kitu cha tofauti tuu basi wanataka kukukomoa. Na sisi tumeshtuka hatutoi rushwa [emoji6]
Sitakiiiii.Wacha tukushughulikie swala lako kwa ufasaha, endelea kumtumaini Mungu hakika litafanikiwa..
Nyie jishaueni tu!![emoji57]Kumbe tuko wengi tunadaiwa?!, asavali siko mwenyewe [emoji12]
Chezea wasukuma wewe[emoji85] [emoji85] [emoji85]Haha!, Ney jamani usinikumbushe kisa kimoja cha watu fulani wa kwetu kukataliwa airport kuingia na vitu vya kula kwenye nchi za wenyewe, kuliko kutupa vyote eti wakaamua kukaa chini na kuanza kula walivyoweza na kutupa vilivyobaki.
HallelujahAmen my dear.
Love you more aunty.
Alokuficha mungu anamuona.
Inaonekana bday girl kaamua kususa bas hii cake isiyooza inabd tuigawe tu hapa hapa airportHawa jamaa hawaeleweki kama vipi tuwaachie tuu hii cake alafu tumtafutie bidada cake nyingine au wewe unaonaje?
Embu tushauriane kidogo maana hili jambo ni very sensitive lazma tuwe na maamuz magumu kidogo.
sijawahi kuliona kwa kwel....,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe inamaana siku zote hulioni?
Aaah hajakufikia hata robo.Mie na kaka yako nan muongo zaidi
Na wewe.Unaongea na mim au na simu?