Haha umekumbuka alivyo kivuruge
Ndiyo zawadi yake ya birthday?Mzee hili swala c tulishakubaliana kwamba huy dada yetu tumtafutie mchumba sasa am in the midlle of the process
Ila leo kafanya hujuma bwana... nilijua labda wewe ndiye unasimamia show nje ya hapa ila nakuona online.Kama kikao cha familia kikikubal bas itakuwa hvyo
Ha ha ha mie toka mwaka umeanza sjui mdogo wetu kafichwa wapi aiseeIla leo kafanya hujuma bwana... nilijua labda wewe ndiye unasimamia show nje ya hapa ila nakuona online.
Hilo liweke kwenye ajenda.