Happy Birthday to You Espy

Happy birthday espy, Mungu wetu akapate kukupa hekima na maarifa kwa kila siku iitwayo leo, ukapate kumjua na kumtumikia kwa kadri ya uwezo wako. Akupe furaha amani na uwezo wa kutambua mema na mabaya.
Heri ya kuzaliwa kwako mpendwa.
Daaah!!!
Amen darling [emoji120] [emoji120]
 
Ila leo kafanya hujuma bwana... nilijua labda wewe ndiye unasimamia show nje ya hapa ila nakuona online.

Hilo liweke kwenye ajenda.
Mnaongea na simu au?
Ha ha ha mie toka mwaka umeanza sjui mdogo wetu kafichwa wapi aisee
Inaonekana kuna kiumbe kinakata nae cake kwan kwako hakupita hv karbun
 
Hahahahaha,
Humu ndani inabidi nianze kuwa mkali sasa!
Yaani mnaniona mimi katoto etiiii ???
Teh teh teh teh...........
Hahaaaaa!! Usijali kaka yangu, juzi ulinikaribia kidooogo ila leo nimekuacha tena. Ndio basi tena[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…