Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Si unajua vile nikiitwa na wewe linakuwa jipya na tamu zaidi. We niite tu baba.Uzi mzima wanakuita hayo majina..nimeona kuyarudia hayatakuwa na ladha.Btw nishakuita hayo majina sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua vile nikiitwa na wewe linakuwa jipya na tamu zaidi. We niite tu baba.Uzi mzima wanakuita hayo majina..nimeona kuyarudia hayatakuwa na ladha.Btw nishakuita hayo majina sana
You are my everything mama..Najua wajua...My Ferrari,Lamborghini,Bugatti,Rolls Royce,Aston Martin.....Si unajua vile nikiitwa na wewe linakuwa jipya na tamu zaidi. We niite tu baba.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]You are my everything mama..Najua wajua...My Ferrari,Lamborghini,Bugatti,Rolls Royce,Aston Martin.....
You are my Forex,Bitcoin,Qnet,D9,Forever living,BOT...Yani we ni kila kitu..Wajua venye nakupenda
Teh teh..Umeona sasa..Nikianza kukutajia siyamalizi[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Basi baba nimetubu.
Khaaaah!! Sio kwa majina hayo jamani!Teh teh..Umeona sasa..Nikianza kukutajia siyamalizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kasema yeye mwenyewe keki, sijui keki ya mihogo!!!
We cheka tu, ila nasubiri cake hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa, subira yavuta HeriMmmh!! Ngoja niendelee kusubiri.
Nawaangalia tu na viswahili vyenu.Ni kweli kabisa, subira yavuta Heri
Sawa ngoja nikazungumze na BonnyWe cheka tu, ila nasubiri cake hivyo.
Twaweza badilisha lugha tuwe kama Nalendwa kwenye international newsNawaangalia tu na viswahili vyenu.
Mmmmh!!![emoji72] [emoji72] [emoji72]Sawa ngoja nikazungumze na Bonny
Najua cake yako ipo basi tuu anakutikisa kidogo, siunamjua mambo yake lakini [emoji28]
Haya bwana.Twaweza badilisha lugha tuwe kama Nalendwa kwenye international news
Shida yake hana roho ya uvumilivu hatutamvusha kaanan shaur yakeSawa ngoja nikazungumze na Bonny
Najua cake yako ipo basi tuu anakutikisa kidogo, siunamjua mambo yake lakini [emoji28]
Ngoja tuendelee kumtuliza kwa maneno matamu tuuKama haamin mwambie tutaghair
Wapi nilitaka keki kubwa!!Mbona una haraka we c ulitaka cake kubwaaaa tulia sasa