Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La bwana mwokozi.[emoji1][emoji28] [emoji23] [emoji23]
Unaenda kanisa gani? Mchungaji wako atafurahi sana utakavyompelekea waumini wengi wa kike![emoji87]
Kwani uliona wivu mzee mbona hili umelirudia mara 10 sasa? [emoji23] [emoji23]Atakula na yule bwana ake aliemficha Siku nzimaa
La bwana mwokozi.[emoji1]
Niliwaambia wakakataa.. na huku kanisani nimefundishwa kila atakaye ambiwa akashupaza shingo basi na aachwe amekengeuka.
Kanisa linahitaji watu kama wewe usiniangushe kesho.
Mwanamke ni familia katika jumuiya ndogondogo.Haha!, nitajitahidi..
Tatizo unafichwa sana.Duuuuh!
Nimekosaje hili tukio?
Hahaaaa!! Kama kaugonjwa hivi. Nataka kuanzia j3 nikamalize. Saa3 nalala[emoji85]Haha team pampulas hatulalagi mapema
Haha... basi bhana.Duuh mzee naona umeamua kuniua kabisa duuh 😎 😀 😀 😀
Ameen my kaka.Happy Birthday kwako le super Sister.
Mungu aendelee kukulinda katika yote mema uyafanyayo.
Mfyuuu! Bichwa linakuwa linazidi mwili.Jamani huu uchogo huku mweeh
Ajifiche wapii, kajaa tele ila anakuonea aibu.Huyo nae mbona anajificha sana, au mstari umekuwa mrefu sana inabidi ajifiche?
Uongo dhambi mama.Kagoma kuja kuchukua cake imebidi tuzile wenyewe banah
Shukrani mkuu.mimi deo kisandu HBD to u
Na kwelimmerudi wote[emoji85] [emoji85]Tupo mama tunajadili kuhusu swala lako la cake
ndiyo makubaliano yetu haya birthday girl?Ajifiche wapii, kajaa tele ila anakuonea aibu.