Happy birthday to you To yeye

Happy birthday to you To yeye

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina🙏
Njoo P-SQUARE TULE KITIMOTO CHAP?
 
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu,
Asante Jehova
Asante Mama
Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi.

Tuitafute amani sikuzote
Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias
Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini.

Mwenyezi Mungu atubariki sana wanaJF.

Amina[emoji120]
Tarehe 9 siyo ?
 
Hapa katika picha ulikuwa unafanya nini?

IMG_8531.png
 
Back
Top Bottom